Комментарии:
Hakuna uhusiano wa hao unapwIta @Ashkenazi na WYHudi
Ответитьni kweli hatukubali tena kumbe ashkanaz na khazar kumbe niwale wapotofu wa allah subhanallah allah atawashinda inshaallah wala hatukubali mambo yao ya upotofu kabisa hasbiallah wa nemaal wakil wa nemaal maula wa nemaal naswir
Ответитьwangalie wanavyo omba kwao
Ответитьsubhanallah allah atatustiri kwa kila baya lao wanalo lifanya lisiwe inshaallah tueleze na mm nitafuatilia ili nipate kujuwa na nita share ww ndio mkweli kabisa
Ответитьnikweli babangu mm niwa mombasa nasema mm nakufuatilia pia tusipate upotofu wao inshaallah utazidi kutueleze ili tujuwe
Ответитьallah akuhifathi babangu shukran jaza yako iko kwa allah
ОтветитьUpotoshaki mkubwa, wakristo someni biblia,muelewe na msiiangalie vita kisiasa hutaelewa
Israel ni' SAA '
Asikiae na afahamu
Mungu akusamehe dhambi unae wewe hauelewi chochote kuhusu wayahudi wao ni jami special wa mungu Yesu kama tu mkristo wakiroho aliezaliwa mara ya pili uzao wa mungu wa binguni shio hao wajiituae na jina ya mungu bure
Wewe nenda katika kitabu ya Genesis chapter 12 mpaka chapter 30 ya Genesis alafu uta acha uongo wako wewe huekewi chochote kuwahushu historia ya ibrahim isack jacob then jami ya jacob ambae ndie jina ilibadilishwa na ndio sasa ni israel israel ni jami wa mungu duniani
Na palestine ni makafir wanastahili kufua kabisa wao ni adui wa jami ya jacobo na inashtahili mupalistine afe kabisa akiuwawa na muiraeli bila huruma palestine ni kama pepo muchavu kwa muisraeli anashtahili kufa kabisa bila huruma au bila musamaha na muisraeli ashidhubutu kumuonea mupalestine huruma yeyote ampige amu uwe kama nyoka hio tu nijuwavio muisraeli na mupalestine nihivio tuu
Hum
ОтветитьUongo mtupuuuu
ОтветитьMsioujua ukweli endeleeni kumfwatilia huyu mzee mnadanganywa jaman kwa mkristo soma kumbukumbu la torati 13:1 had 5 na 6
ОтветитьNaitakia Aman Israel ukitaka laan kama huyu mzee alivyolaaniwa endelea kumwamini huyu mzee
ОтветитьSheikh: Nimesikiliza maelezo yako katika makala hii kwa Makino sana nimegundua tofauti kubwa kati ya maelezo yako na yale yaliyotolewa na Sheikh: Mohammad Ally Swaabun kiitwacho SWAFWATU TAFAASIR katika kuzungumzia "Uyahidi" rejea tafsiri ya Ayat inayosema: "Ibrahim hakuwa Myahudi wala Mnaswara lakini alini alikuwa Mnyenyekevu Muislamu wala hakuwa miungoni mwa wshirikina" suratu alimran.
Baada ya kupitia maelezo hayo naamini utanipatia maelezo yalionyooka kwa Taufiqi ya Allah.
Kwa nn tuko buys saaana na wa yaudi yakwetu Africa yame tushinda tumalize kwenza yakwetu apa Africa walisema wahenga ukitaka kusafisha kwa mwenzako hanzakwako kwanza ndouende kwa mwenzako
ОтветитьTHANKS FOR SHARING🙏GOD BLESS U ALWAYS"
ОтветитьTuko hapa wanao kwa dini mimi ni mkristo wanafunzi wako katika makara ya habari za hao wanajiita wayahudi
ОтветитьMwongo sana wewe.Historia hujui kabisa,unajua uislam tu.Una chuki tu na wazungu na wayahudi.Mafundisho yako manyonge sana.Fundisha historia,sio uislamu.Wwe mhuni tu.Sema pia waarabu ni nani?
ОтветитьMbona husemi Mauaji ya Sayid Said,Ibn batuta.
ОтветитьTupe vitabu unavyotumia.Tumia vitabu vya kabla ya miaka 600.Kabla ya Kurani.Unajua njama ya Wayahudi,lkn hujui njama ya Uislam na Br Mohamad.
ОтветитьYesu ni jibu.Naye alikuwa Myahudi.
ОтветитьSema ukweli,acha kupotosha.Naipenda Biblia,inasema ukweli.Siwezi kuamini kitabu kilichokuja miaka 500 baada ya Yesu.
ОтветитьNa hao waislam wanaoshangilia wakiua wayahudi na wakristo,wako wapi.
ОтветитьMnao msema Kwa Kwa ubaya huyu mzee Kwa ukweli huu anao uongea mtakuwa ni kizazi Cha ibilisi maana matusi kwa ibiris ni kama chakula tu haoni shida kutukana
ОтветитьMtoto mkubwa wa Yakobo ni Rubeni sio Yuda
ОтветитьHeshima kwako ni muhimu saana mzee wetu, lakini unatia giza katika maelezo yako kwa nukta unazopita, kosa unalofanya unalazimisha upande mmoja uelewe unachojua wewe, ushauri .....ebu jaribu kunyoosha mada yako ili watu wajue vyema kuhusu Taifa la Israel, bado unaeleza maelezo mafupi mafupi uliyosoma katika vitabu vya wakufunzi tuu.
Ответитьkwani ibrahimu alikua mwafrika kama ibrahimu alikua muebranii basi sio mwafirika
ОтветитьNilisubiri sana Alhamdulillah
ОтветитьMawazo mazuri kwa Mzee huyu, hana upande ni mtu mwenye busara
ОтветитьWayahudi au waisrael wote ni walewale Wana wa Israel we mzee umefilisika huna elimu wayahudi au waisrael walipo Israel Leo ndio walewale wanajuana Hadi kooo zao hao hata akizaliwa tz bado kwao irodha yake itaorodheshwa kwenye kitabu Chao Cha koo za Israel kulingana na ukoo wake huw Wana utambulisho wao huwa hawapotezagi kama sisi na lugha yako ya kiebeania ipo palepale na taratibu na Mila zao zipo palepale Kam unavyoona Kasai hata akienda morogoro anahifadhi Mila na destiri zao hivyo waloppo Israel ni wao halisi acha kudanganya watu ww mzee unazeeka vibaya. Wadanganye wengine wasiojua historia tuonyeshe Basi waisrael au wayahudi halisi wapo wapi au wewe ukienda kuishi ulaya na mkeo ukizaa watoto wako kama ni wasukuma kwa mawazo yako mgando watakuwa wazungu? Hao walienda ulaya kuanzia mwaka 70 baada ya kristo walipigwa na warumi wakatawanyika Duniani mwaka 1948 wakarudishwa yafa yaani tela aviv ya Leo wakarejea Taifa lako hii c Mara ya kwanza waisrael kwenda utumwani hata misri waliishi miaka 400 wakateswa baadaye Musa na Joshua wskawarudisha Tena it kwao Israel mbona husemi kuwa hao nao walikuwa wamisri c waisrael ,pia walienda babeli wakateswa Iraq ya Leo baadaye wslirudi kwao Israel waliwahi kulwenda ajemi baadaye wslirudi kwao mbona hamsemi walikuwa waajemi au wasrabu? Leo kwenda ulaya wskarudi kwao Tena ooo si wenyewe ni wazungu. ,uongo mkubwa ww mzee una ufinyu wa mawazo una chuki na wayahudi na wazungu kisa c waislamu hii ni roho mbaya na wivu na ni udini umekujaa tele acha ubabaishaji
ОтветитьYuda si mtoto mkubwa wa Yakobo umepotoka sheikh
ОтветитьYahudi maana yake watanga na jangwa,jina lilitokana kutangatanga jangwani,
ОтветитьUDINI RANGI UKABILA DUNIANI TATIZO
MASKINI HANA HAKI S SAWA
Israel=Kizaz cha Nabii Yaakub
uYahud=Dini
uZayun=Nationalist Ideology
The truth is true
ОтветитьHongereni sana Kalamutz.Kwa mara ya kwanza huku Afrika sijamsikia anayejua ukweli kuhusu hawa watu wanaojiita Waisrael.
Mimi piano nimtafiti.Naj7a habari The Khazar warriors na Ashkanazim. Natamani tukutane siku moja.
Nyie akina Luca na wengine mnaojiita wakristo,ukweli wote kuhusu Israel umeandikwa ki kamilifu ndani ya biblia, soma biblia utaelewa vzr tena mwenyewe bila kubweteka usubili kusomewa na kutafsiliwa kwa jinsi ya kuegemea upande wa tafsiri ya msimamo wa dini, soma biblia utajua yakinifu ukweli mungu anasemaje kuhusu kurudi kwa wa Israel ktk nchiyao ya ahadi na ndio walipo leo, kama kuna wanaojiita wa Israel na hawapo Israel jua unadanganywa
ОтветитьUislamu ulikopi historia kutoka islaeli Kwa upotoshaji na propaganda...Kwa lengo la kuuwa uyahudi na ukristo na kifanya uislamu ionekane wa maana.lkn ni ukweli uislamu umeleta balaaa duniani
ОтветитьUkristo na uislamu ni tofauti kabisà
Mungu wa waislamu kaangalia sifa zake kwenye kruhan na biblia ni tofauti.
Mariamu wa kruhan na Mariam wa biblia ni tofauti
Yusufu wa kruhan na biblia ni tofauti
Yerusalemu......inavoelezwa kwenye krahani na biblia ni tofauti.
Wayahudi inavo waeleza wayahudi na wakristo Kwa chuki.
🇵🇸🇵🇸🇵🇸
ОтветитьKumbe bado kuna wazee wenye elim kubwa namna hii? natamani nipate mawasiliano yake ya moja kwa moja...
ОтветитьIsrael tafsiri yake siyo mja wa mwenyezi Mungu kama anavyosema huyu ustaadhi. Kwa mjibu wa Biblia jina Israel alipewa yakobo baada ya kupambana na malaika hadi karibu na kucha ndipo malaika akamwachia na kumwmbia Yakobo hutaitwa Yakobo bali Israel maana aliyepigana na Mungu
Ответитьkwani we mzee ulikwepo wakati huo?alafu huwezi kuizungumzia Israeli kwa kutumia Quran imeandikwa badae baada ya Kristo.hata uyo aloandika Quran alikuwepo wakati wa kristo??mzee acha uongo
ОтветитьMi mkrieto na umeongea ukweli
ОтветитьUmeongea ukweli 🎉 mtupu Hawa sio Israeli wa ukweli ni ashkanazi
ОтветитьWa isilam muta hangayika sana kwa kudanganywa n'a wa rabu eti qoroan ni ki tabu cha mungu mu ka kataa kuamini bibliya takatifu
ОтветитьMzee wazungu sio WAYAHUDI mgawanyiko upo 👉Nuhu kwa watoto 3 wale wazungu ni WAFETI
Ответить