LIVE: DK. NCHIMBI ANAFUNGUKA KILA KITU MUDA HUU/KWENYE NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI CCM LUMUMBA

LIVE: DK. NCHIMBI ANAFUNGUKA KILA KITU MUDA HUU/KWENYE NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI CCM LUMUMBA

MwanaHALISI TV

4 дня назад

1,884 Просмотров

Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии:

@raphaelmkosamali1056
@raphaelmkosamali1056 - 13.09.2024 12:04

Sasa kama siyo ccm mbn mumeshinwa kuwadhibiti.

Ответить
@echimoshi1270
@echimoshi1270 - 13.09.2024 12:05

Nyie vibaka wa CCM damu ya Ben Sanane iko juu yenu, Nchimbi mungu atakuhukumu kwa hiki unachofanya leo, damu za Watanganyika ziko juu yako.

Ответить
@IsayaKamomonga
@IsayaKamomonga - 13.09.2024 12:31

Mpuuzeni hana lolote huyo.

Ответить
@geofreysimpepo9945
@geofreysimpepo9945 - 13.09.2024 12:57

Ifike hatua vyombo vya usalama viwe vinachukua hatua haraka kuwawajibisha baadhi ya viongozi wa ccm wanao jitokeza hadharani na kutamka maneno magumu kama mimi nilikua kiongozi wa chinja chinja,mwingine anasema polisi mkiskia tumewapoteza msilaum Wala kutugusa,mwingine mmeskia kilichotokea maporini huko na mimi nilihusika na yote ni mipango ya selikali alafu hakuna kuwawajibisha haraka vyombo vya Dola vinakaa kimya tu kwa kua wako ndani ya Cha tawala,ila kauli ya kawaida tu ikitolewa na mpinzani police wanashugulika nalo haraka ,huko ni kuigawa nchi vibaya Sana,...usawa unatakiwa kushugulika na Kila kauli yenye ukakasi hasa kipindi hiki ambacho watu wanatekwa na kupotezwa na wengine kuuliwa na wengine kuumizwa vibaya,..watu wakitoka na kusema tunaandamana kupinga police wanajitokeza kusema wanafanya vurugu how?.. jeshi la police lijitafakali Sana,.IGP acha kuwambia wananchi nchi Ina amani ama Iko salama wakati watu hawajui ndugu zao waliko na wengine wamesha uwawa ,hii vuguvugu inaonekana ni ndogo kwa sababu hao wakubwa familia zao ziko salama sidhani kama mkuu anaweza kusema hayo mtoto wake akiwa hajulikani alipo.

Ответить
@rejobu9723
@rejobu9723 - 13.09.2024 12:58

Tunataka serikali inayo wajibika na sio kuturetea ulembo

Ответить
@omuze1290
@omuze1290 - 13.09.2024 13:05

Mh. Nchimbi umeongea kwa hekima kubwa. Vyombo vya dola viko chini ya serikali ya CCM. Tunaomba hekima hii uliyoonesha itekelezwe kivitendo.
Mungu ibariki Tanzania na wananchi wake!
Amani idumu Tanzania kwa Jina la Yesu!

Ответить
@Luhumbika
@Luhumbika - 13.09.2024 13:27

Haki huinua taifa

Ответить
@PendoMwangu-vd2yu
@PendoMwangu-vd2yu - 13.09.2024 13:34

Mbona husemi juu ya akina Soka na wenzake,huna uchungu na vijana, very sad event

Ответить
@StephanoGwelino
@StephanoGwelino - 13.09.2024 15:31

Docter nchimbi hongera sana umeongea kwa hekima umenifanya nianze kuamini kuwa hata ccm inaweza kutoa viongozi wazuri.ila katibu mkuu vipi vijana wenzetu wanao daiwa kupotea kila mahali angalia docter nchimbi ., soka kijana mdogo kabisa
Sativa.dogo wa mbeya wote hao wanapotea vipi hatima yao

Ответить
@natressvayinga518
@natressvayinga518 - 13.09.2024 16:00

Watekaji na wauaji wanatoka wapi?
Nyuma Yao Kuna nani na lengo/Sababu ni nini?
Hatua Gani zimechukuliwa na vyombe vyetu vya ulinzi tangu taarifa za watu kupotea zimesikika?
Kama Watekaji, watesaji na wauaji Hawa hawapatikani, Je, ni kwamba Wana uwezo kulizidi Taifa la Tanzania, Serikali na vyombe vyetu Kwa kiasi Gani?


MISINGI YA CHAMA CHANGU CCM IKO WAZI

1. Kinajali Ubinadamu na utu
2. Kinaamini Katika Amani, upendo na mshikamano
3. Kinaamini Uhuru wa RAIA wote
4. n.k

RAIS Wetu ndiye mwenye kiti wa Chama, maana yake anasauti Kubwa sana Kwa Chama na Kwa Serikali yetu, Kwa Lugha nyingine, CCM inawajibika Kwa Maisha, Amani, utulivu na mshikamano ya Watanzania. Yaani Mkemeaji, Mtafutaji wa wahalifu hao, kuwafikisha kwenye Vyombo vya Sheria, na Mtetezi wa Uhuru na haki za RAIA wote ilitakiwa iwe ni Uongozi wa Chama CCM

Kwakusikia TU, Kuna vijana wengi inasikika wamepotea kwenye mazingira tata, wako wapi basi? Kama ni maneno kuleta taharuki TU, kwanini waleta taharuki hawachukuliwi hatua basi? Yule Kijana wa Mbeya aliyechoma picha ya RAIS Kwa hisia zake, nasikia akina Soka, n.k, wako wapi? Kama Hawa wanapotea Kwa kipindi chote hicho, na hakuna lolote linasikika Kwa umma Toka Kwa Viongozi, Vyombo vya Ulinzi, Bunge, n.k.

Mimi Kwa mawazo yangu Binafsi, Nafikiri,Hata Mzee Kibao alifikwa na Hilo kwasababu, huenda hao wauaji walijisikia ujasiri kuendelea maana Hata waliyoyafanya hapo kabla, hayaonekani au kusikiwa kushughulikiwa, licha ya Umma kusikiwa kupiga kelele. Unajua, Ugonjwa wa akili Kwa Watanzania utaongezeka mara dufu, Kwa habari hizi zinazoendelea. Kama RAIA mwenzangu anaweza chukuliwa mbele za watu wengi, na kwenda kuuawa, inashindikana nini kwa mwingine? Je, nisubiri kuja kuuwa? Any way, kufa tutakufa, maana tayari tunakufa, nini chakuogopa Sasa?

Tanzania sikiliza neno la Amani, ukaishike Amani, ukaiishi Amani, ukaile Amani, ukatawaliwe na Amani. MUNGU IBARIKI TANZANIA

Ответить