Elon Musk kutoa TZS Bilioni 2.7 kila siku kwa wapiga kura wa Pennsylvania

Elon Musk kutoa TZS Bilioni 2.7 kila siku kwa wapiga kura wa Pennsylvania

Simulizi Na Sauti

12 часов назад

8,088 Просмотров

Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии:

@LudoMwamsaku-x2u
@LudoMwamsaku-x2u - 20.10.2024 22:27

Daaah

Ответить
@maxiellmillian
@maxiellmillian - 20.10.2024 22:31

Huu jamaa ana pesa mpak ugomvi

Ответить
@mtulivu-ir1nq
@mtulivu-ir1nq - 20.10.2024 22:39

Aingie tu kwenye siasa Moja kwa moja

Ответить
@piussogoye
@piussogoye - 20.10.2024 22:41

hawa ndio matajiri wa dunia ya kwanza, hawaendeshwi kwa kama gari mbuvu usijaribu huku kwenye dunia ya tatu

Ответить
@MasterTulo
@MasterTulo - 20.10.2024 22:43

Mh hatar sana

Ответить
@avitrugakingirajr1669
@avitrugakingirajr1669 - 20.10.2024 22:53

Waswahili tunasema money is talking

Ответить
@jessechristinme3923
@jessechristinme3923 - 20.10.2024 22:54

Trump for presidency 2024

Ответить
@eliaszephania3115
@eliaszephania3115 - 20.10.2024 22:54

Ndio atukatai una pesa nyingi sana na hatupingi kwa Hilo maana kazi zako zinaonekana akuna ambae ajui kwamba unapesa lakini kaka Simba la masimba dangote kuwa tajiri namba1 kumpik hd huy mwamba mmmh Hadi nione ndo niamin kwa sasa hapana kama ulikuwa kwenye ndoto hapo sawa

Ответить
@josephatdunda1937
@josephatdunda1937 - 20.10.2024 22:54

Hizo ndo nchi watu wanajiamini sana

Ответить
@AhamedyKibarati
@AhamedyKibarati - 20.10.2024 22:57

Duuuuu

Ответить
@martinisadru9899
@martinisadru9899 - 20.10.2024 22:57

Si ndiye huyu jamaa bibilia imemtabili kua mpinga KRISTO mwenye akili za ajabu na kutisha, na tajiri wa kupindukia?

Ответить
@martinisadru9899
@martinisadru9899 - 20.10.2024 23:00

Huyu jamaa namwogopa sana,, atakua ndie mpinga KRISTO,, maana haijulikani ni muumini wa dini gani.

Ответить
@Sultanrawahy
@Sultanrawahy - 20.10.2024 23:01

Msisahau gps kesho

Ответить
@MAHAN-SMART
@MAHAN-SMART - 20.10.2024 23:07

Tunasubir GPS kesho inshallah kwa hamu sana

Ответить
@stevenmabungi3245
@stevenmabungi3245 - 20.10.2024 23:14

Ninavyoona Ellon Musk atakuwa mwana siasa na huenda akaja kuongoza nchi ya marekani

Ответить
@AlexGwiha
@AlexGwiha - 20.10.2024 23:19

Kinachonipa nguvu huyu bilionea nikumuona ni mtu kutoka taifa kubwa marekani . Ataifanyia makubwa marekan siku chache badae

Ответить
@BHALEEALI
@BHALEEALI - 20.10.2024 23:20

Trump na Elon hawa ni wafanya biashara nguli, hizo hela zinarudi dakika 10 tu ikiwa Trump atakuwa raisi, lengo lao ni kuja na CRYPTO CURRENCY yenye nguvu kubwa duniani zaidi ya GOLD & BITCOIN

Ответить
@BEUNIQUEMEDIA-1
@BEUNIQUEMEDIA-1 - 20.10.2024 23:54

Hii nchi ndo yakwenda kujiqndksha ssa 😅

Ответить
@Fardadihd
@Fardadihd - 20.10.2024 23:55

KAMANDA MKUU ALOKUFA HUJAMUONA AU HABARI UNACHAGUA😅😅

Ответить
@MsAggie5
@MsAggie5 - 21.10.2024 01:43

Hiyo ruswa ingekuwa Africa wangepiga kelele

Ответить
@Kulwakisansa-zk5yg
@Kulwakisansa-zk5yg - 21.10.2024 01:44

Huyu ni mwehu ma home less kibao wamejaa huko hawasaidii afu anapambania iyo mbwa yenye chuki na waifrica na waislam

Ответить
@kmotivation1130
@kmotivation1130 - 21.10.2024 03:09

ingekuwa ni Tanzania una hisi Chawa yupi angeshinda

Ответить
@ankalmzito254
@ankalmzito254 - 21.10.2024 03:37

Na Diamond bae anasemaje sababu pia anataka kua tajiri Dunia nzima😂😂😂😂

Ответить
@abdallahlugendo3221
@abdallahlugendo3221 - 21.10.2024 06:54

Sawa Sawa Asante sana

Ответить
@chachajulius4481
@chachajulius4481 - 21.10.2024 07:30

Mi najiuliza huyu Elon musk anataka Nini marekani siku zijazo maana ametumua gharama ya kupindukia kumfadhili Trump

Ответить
@Ethnicfm91
@Ethnicfm91 - 21.10.2024 08:24

Faini ya Dola Elfu 10 Elon Musk anatoa dola Milion 1 😂😂😂

Ответить
@timetravellor5367
@timetravellor5367 - 21.10.2024 08:51

Jamaa anakitu anakitaka na atakipata hela ndo Kila kitu

Ответить
@DannyRose-gq3qe
@DannyRose-gq3qe - 21.10.2024 09:22

Huyu ndie diamond anataka kushindana naye?😂

Ответить
@pesaspy_tv
@pesaspy_tv - 21.10.2024 09:57

Kwa bongo ni rushwa hiyo

Ответить
@moudys
@moudys - 21.10.2024 10:11

Jamaa anataka utawala wa dunia mana akishinda Trump yeye ndio atakua mtawala trump atakua kivuli tu, ataweka sera zake kwa dunia ili kukamilisha utawala wake. So tusubiri dunia mpya huenda ikawa mbaya zaidi

Ответить