Комментарии:
🙏🙏🙏
ОтветитьFeeling blessed from USA
ОтветитьAmen
ОтветитьAmina Mtumishi umesema kweli .niwakati wa uamusho Yesu anataka kulitengeneza kanisa
ОтветитьMchungaji barikiwa sana maana ukweli unaosema,kwa kweli mafunzo yako yananifungua sana.Mimi ni rafiki mkubwa wa kwako.Nikiwa apa kwetu Kenya
ОтветитьMungu amtie nguvu mahubir yake yanatufundisha sana
ОтветитьSafi sana
ОтветитьAm really encouraged by your sermons
ОтветитьKweli kabisa
ОтветитьKwa waibiri wote Duniani wangekuwa Kama wewe tungekuwa mbali God bless you
ОтветитьNimebarikiwa na kujua kitu sana mchungaji ubarikiwe sana na Mungu. Niko Eldoret Kenya.
ОтветитьUbarikiwe muchungaji
ОтветитьI'm very blesed with you and your praching is very important God bless you we won't you in Congo RDC
ОтветитьYour preaching is Blessing God Keeper you my Preach.
ОтветитьNakukubali kiukweli ubarikiwe 🙏🙏
ОтветитьIn Kenya churches have become business Centres . Now I attent church online.
praise GOd
Amen pastor l'm blessed with yr preaching hallelujah hallelujah glory to God bless you watching all the way from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏
ОтветитьUnanigususa sana ntachangi kidogo nilicho nacho namba yamalipo
Ответить❤❤❤❤ sana mungu azidi kukuweka unamafundi sana mungu azidi kukuwekea nguvu asante sana
Ответитьi am watching from kenya -migori i am blessed so much
ОтветитьAmen
ОтветитьSafi baba Mungu akutunze usife wewe uishi sana.Unajua kumsemea Yesu vizuri ama kweli wewe ni Mtumishi wa Mungu mkuu
ОтветитьWatching from 🇰🇪
ОтветитьAmeeeeen napokea injili nikiwa Saudi Arabia ubarikiwe sanav mchungaji 🎉🎉🎉
ОтветитьHongera kwakusema ukweli
ОтветитьAmen 🙏🙏🙏
ОтветитьAmen pastor I'm bleased
ОтветитьAccording to what your schedule and proclaimed the word of wisdom I wish if I can higher you to come Loitokitok because some preacher they have changed the bible verses
Ответить❤❤
ОтветитьMimi ni mkongo ubarikiwe baba
ОтветитьMungu akubariki sana mtu wa Mungu amenena ukweli mtupu siku moja tuta kualika Kenya 🇰🇪 Nairobi Gospel restoration ministry...ahsante sana..
Ответить🫡🫡 Hallelujah.
ОтветитьHallelujah
ОтветитьAmen 🙏 🙏 ubarikiwe sana mtumishi wa mungu kwa mafundisho yako
ОтветитьUbarikiwe mchungaji
ОтветитьMchungaji Daniel Mgogo Mungu akupe maisha marefu, umefanyika baraka kwetu.
ОтветитьHakika haya ni mahuburi,mungu azudi kukupa Neemah❤❤❤
ОтветитьRwanda tunakupenda
ОтветитьUbalikiwe sana mtumishi wa mungu
ОтветитьUbalikiwe san mtumishi
ОтветитьUbalikiwe san mtumishi
ОтветитьAmeeen waambie hizi ni nyakati za mwisho waisome neno
ОтветитьAmeni pastor jamani mgogo
ОтветитьSalama mtumishi mimi nakufuatiria nikiwa hapa burundi injili unao hubiri ni sahihi kabisa
ОтветитьAmen 🙏🙏🙏ubarikiwe mchungaji. Wacha Mungu azidi kukuinua viwango vya juu🇰🇪🇰🇪🇰🇪
ОтветитьYah yeah 😂
ОтветитьAmen
Ответитьpraise God pst nachukuru huwa unabariki kila inchi Mimi mkenya bls
ОтветитьNiombee tafadhali nafsi yangu Nina machungu am at the verge of moving to unknown place,Bora niwe na amani
ОтветитьMimi nilihama kanisa juu niliona mchungaji anataka kulaani watu kwa mathabau... Mimi nikatoroka
Ответить