''DAKTARI AMENIAMBIA MWILI UMEJAA MAKOVU LAKINI HAKUNA NAMNA LAZIMA NIFANYIWE OPERESHENI'' - HAWA...

''DAKTARI AMENIAMBIA MWILI UMEJAA MAKOVU LAKINI HAKUNA NAMNA LAZIMA NIFANYIWE OPERESHENI'' - HAWA...

Global TV Online

3 недели назад

24,455 Просмотров

Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии:

@esthermliga4875
@esthermliga4875 - 02.10.2024 14:43

Neema ya Kristo isipungue juu yako!! Mpaka hapo ulipo wew ni mshindi mno Mungu analo kusudi na maisha Yako!! Utapona dadangu endelea kumwamini na kumtegemea Mungu

Ответить
@FATHIYA002
@FATHIYA002 - 02.10.2024 15:19

Pole sana Allah Yuko nawewe naamini kheri inakuja kwako sina Hela lkn natamani ningekupeleka na nikakurudisha Tanzania mola atakufanyia wepesi Amin.

Ответить
@FATHIYA002
@FATHIYA002 - 02.10.2024 15:21

Pole sana Allah yuko nawewe naamini kheri inakuja kwako sina Hela lkn natamani ningekupeleka na nikakurudisha Tanzania mola atakufanyia wepesi Amin.

Ответить
@dayana5513story
@dayana5513story - 02.10.2024 15:54

Kila kitu kinatokea kwasababu,Mungu nimwema siku yatakwisha

Ответить
@SamiaMbada
@SamiaMbada - 02.10.2024 16:11

Mrudie mollah wako

Ответить
@Husnasalim-f2g
@Husnasalim-f2g - 02.10.2024 16:33

Me yot kwa yot na naomba na msio wa Tanzania mtusaidie na mliotusaidia tok mwanzo pia tunashukur nasem ivi kwaajili ya dad haw najua kunawatu weng mlimchangia ikiwemo sio wa Tz ila dad hawa amesema watanzania ila me nipo kwa ajili ya wot mtusaidie mlio wa Tz na sio wa Tz sisi sot wamoja dad haw awez kuvitaj vyot msijisikie vibaya jaman

Ответить
@catherinenenula7450
@catherinenenula7450 - 02.10.2024 18:07

Mwe mungu SI amponye uyu dada😢😢😢😢 jamn

Ответить
@nuriahussen2160
@nuriahussen2160 - 02.10.2024 18:28

Allah akupe shifaa ya haraka dadangu ufanikiwe safari yako iA

Ответить
@nuriahussen2160
@nuriahussen2160 - 02.10.2024 18:30

Kwa kweli n mtihani mkubwa Allah akupe subra

Ответить
@PatrickDavid-l3p
@PatrickDavid-l3p - 02.10.2024 20:10

Mungu ametenda jaman.

Ответить
@Ashuramalevi
@Ashuramalevi - 02.10.2024 21:42

Allah azidi kukufanyia wepesi inshaallah hakika ibada umeifanya kipenzi changu 🥰

Ответить
@mwajabumunna6398
@mwajabumunna6398 - 02.10.2024 21:57

Mama usilie Allah atamsimamia Hawa atapona hakuna kikubwa kwa Allah

Ответить
@atwowa6380
@atwowa6380 - 02.10.2024 22:31

Amiin Allah akutangulie safaris yako utapona kwa uwezo wa Allah muumba mbingu na aridhi bila kishikilio

Ответить
@madamehatibu9324
@madamehatibu9324 - 02.10.2024 22:59

Dada ukifanikiwa kutoka huko na ukapona asee nitafurahi sana sana Mungu akupiganie

Ответить
@neemagideon8384
@neemagideon8384 - 03.10.2024 00:04

Mungu ni mwema hawa utakuwa sawa mungu ametenda hapo ulipo utakuwa sawa zaidi ya hapo

Ответить
@NajimaHusen
@NajimaHusen - 03.10.2024 01:28

Mungu nimwema sana atakufungua zaidi

Ответить
@MwanamisiomarAli
@MwanamisiomarAli - 03.10.2024 15:23

Pole sana daa hawa allah atakupa shufaa ya haraka biidhinlilah kilakitu mungu tu inshaalah utapona dada ulee mwanayo amin 🙏

Ответить
@KhadijaJuma-y8m
@KhadijaJuma-y8m - 03.10.2024 19:48

Allhamdulillahi mungu.mwema inshallah utapona mom

Ответить
@JosephineJoseph-o9v
@JosephineJoseph-o9v - 03.10.2024 20:01

Mungu aliyemfufua Lazaro atakuponya na wewe mdogo wangu.endelea kumtegemea Mungu hashindwi na jambo.

Ответить
@RehemaAbedy
@RehemaAbedy - 03.10.2024 20:32

Mimi Nina imani kabisa uta pona kwauwezo wake mungu lnshaallah tuna kuombea mama usife moyo mungu niwetu sote ❤❤❤❤

Ответить
@rudiaissa
@rudiaissa - 03.10.2024 22:21

Dada mm nikuombe amka usiku saa 7 ongea na Mungu mwambie inatosha Baba nakuachia wewe ndo mwamuzi wa mwisho,Mungu atafanya muujiza wake wa uponyaji

Ответить
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 - 03.10.2024 22:33

Binafsi wallah dada nakuombea sana sana sana nikuone usimame dada naumia sana najua maumovu unayo pitia mana nimepitia maumivu makubwa ya figo ila mwenzangu umepitia makubwa sana sana nakufatilia mwanzo mwisho

Ответить
@MlongoAish-lc8th
@MlongoAish-lc8th - 03.10.2024 22:34

Inshallah daa mungu atakuponya inshallah

Ответить
@estherjohn8360
@estherjohn8360 - 04.10.2024 00:12

Utapona carolynehawa ❤

Ответить
@MariamMuhala
@MariamMuhala - 04.10.2024 07:01

Asalmalkm mungu akupe wepesi kwenye matibabu na safari yako kwa jumla usijali mama utaweza na utatoka kama kawaida ishallah

Ответить
@RehemaManase-t7j
@RehemaManase-t7j - 04.10.2024 07:50

Mungu aendelee kukupigania

Ответить
@khafidhally7503
@khafidhally7503 - 04.10.2024 11:07

ALLAH atakufanyia wepec utapona

Ответить
@TatuHusseni-hs7mu
@TatuHusseni-hs7mu - 04.10.2024 12:48

Kila napo kusikiliza dad hawa hutokwa na machozi hakika dad Allah atakuponya kwa uwezo wake Allah 🙏🙏

Ответить
@jamesmaghanga5652
@jamesmaghanga5652 - 04.10.2024 13:16

Mkaribie mola usimwache kamwe. Rais Samia aendeleze mchango wake kwa dada yetu. UTAPONA DADA 🙏

Ответить
@hidayamkanjumwa9917
@hidayamkanjumwa9917 - 04.10.2024 20:05

Allah awafanyie wepesi kwa mtihani huo mgumu 🥺 nimelia sana 🥺. Allah awasaidie🤲

Ответить
@khairahsulley5604
@khairahsulley5604 - 04.10.2024 20:39

May Allah ( S.W) give you shifaa, and give you anything you wish to have in this dunya and akhirah

Ответить
@louisamazutantamukunzi7363
@louisamazutantamukunzi7363 - 04.10.2024 20:48

Kwani hiyo miyaka nane Samiya ndiye alikuwa ana ksaidiya?ama ni niumoja wawatanzania pamoja na Mungu?

Ответить
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 - 04.10.2024 23:50

Dada mzuri nasha Allah,Allah atakuafu

Ответить
@neemamushi3522
@neemamushi3522 - 06.10.2024 09:07

Mungu akufanyie wepesi upone kabisa dada yangu uendelee na shughuli zako

Ответить
@AbasJeilan-ns8yp
@AbasJeilan-ns8yp - 07.10.2024 08:33

Hawa pole sana, kikubwa kuwa karibuni na Allah kwa kufanya ibada kila kitu Allah ndio muweza

Ответить
@ArafaSaalum
@ArafaSaalum - 07.10.2024 19:48

Allah akupe shifaa ndugu yangu Hawa

Ответить
@OsmanMoosa-uh3is
@OsmanMoosa-uh3is - 07.10.2024 20:47

Matendo ya Mungu yapita fahamu Na akili ya wanadamu

Ответить
@HalimaSheikhAbdi-i7l
@HalimaSheikhAbdi-i7l - 07.10.2024 21:57

😢😢😢pole

Ответить
@Maryammuhsin-iw3hh
@Maryammuhsin-iw3hh - 09.10.2024 20:06

Allah atakuponya yatapita,utasahau utakua mzima kma ulivokua mwanzo kua na imani na allah ndie mueza kma allah ndie alie kujalia maradhi bci ndie atakae kuponyesha utapoa dada utasahau inshaalah

Ответить
@lucimwica647
@lucimwica647 - 10.10.2024 11:24

Mungu ni mwaminifu na uwezo wake haumpungukii mja wake,Mungu mwenye Huruma akuponye.

Ответить
@ArobogastShirima
@ArobogastShirima - 10.10.2024 18:50

Dada Mungu atakuponya endelea kumuomba atakuponya.

Ответить
@AshaYahaya-p5r
@AshaYahaya-p5r - 11.10.2024 11:08

Mungu. Hawezi. Kukuacha. Hapo. Alipo. Kutoa. Ni. Yeye. Ndie. Atakae. Kusaulisha. Maumivu

Ответить
@mgembepaschal
@mgembepaschal - 12.10.2024 17:10

pole sana mamie,utapona tambua wewe ni mshindi kwenye hili!!!

Ответить
@mgembepaschal
@mgembepaschal - 12.10.2024 17:11

ila kwann siyo angekwenda India kabisa?

Ответить
@mgembepaschal
@mgembepaschal - 12.10.2024 17:13

usilie mama acha nichangie kwa kidogo!!!

Ответить
@mgembepaschal
@mgembepaschal - 12.10.2024 17:15

mama aache siasa bana aishie kuomba kwa rais inatosha

Ответить
@saidahemeid5370
@saidahemeid5370 - 16.10.2024 08:42

May Allah grant you complete Shifaa. May all the tests you're going through be your gate pass to Paradise.

Ответить
@LovelovenessPiniel
@LovelovenessPiniel - 16.10.2024 18:22

Mungu asante kwa mtumishi wako huyu . Kwa imani aliyonayo anakuamini kuwa unaweza kumponya na kurudi kama zamani. Naomba kwa neno lako moja tu mtumishi wako awe huru apokee uponyaji katika jina la Yesu. Na safari hii oparation itakayofanyika tunaomba ikawe ya mwisho muhurumie na umpatie furaha ya milele amina

Ответить
@stamillusatila9084
@stamillusatila9084 - 17.10.2024 10:10

Bado unaumwa mwanangu ila Mungu wetu tunaemwabudu hakika atakuponya na utarudi katika hali yako nzuri ili uendelee na maisha yako ya kila siku. Inshaallah utapona vizuri, nakuombea kila siku mrembo wangu.

Ответить
@globaltv_online
@globaltv_online - 02.10.2024 10:35

MPIGIE DR.JJ.MWAKA SASA KUPITIA 0758 100 100 na 0785 100 100 UPATE MSAADA WA KITABIBU KWA GHARAMA NAFUU.

Ответить