Комментарии:
🔥🔥🔥
ОтветитьKwakweli Mwalimu apewe Maua yake mmh wimbo hauchoshi wimbo unabariki,Jin la Bwana litukuzwe
ОтветитьWooow,,MUNGUU Azidi kuwatunzaa mzidi kuyaish hyoo na kuelimishaa ..huoo wimboo balahaa mzurii..MUNGU Azidi kuwatunzaa viwangoo vya juu
Ответитьhii imeendaaaaa🔥🔥mbarikiwe watu wa Baba
Ответить❤Mr Melody Ubarikiwe Sana ✍️👊
ОтветитьWimbo mtam sana ila we YUDA ni kiboko yako😂😂 anyway DA NAOMY CENEDY NAOMBA UOLEWE KABLA HUJAVUNJA SHERIA 😂😂😂 ITS ME NA HUNIFANYI KITU NTASEMA MPAKA SIKU UTAKAYOOLEWA CZ UNASABABISHA FOLENI HAIENDI😢
ОтветитьBarikiweni mno wapenzi katia BWANA HIVI hata sie tusokuwa na sauti ya kuimba tunaruhusiwa kujiunga nanyi 😢😢😢 Napenda Uimbaji ila sauti sasa 😢😢😢
ОтветитьWhat amazing song is this🎉
ОтветитьAmina
Tufuate Sheria za mungu kwa imani
🔥🔥💫
ОтветитьKazi nzuri sana
ОтветитьNawapenda xana
ОтветитьMungu atujalie soooote na atusaidie kuzitii sheria zake na kuzifuata ili ile ole katika maisha yetu ikawe heri.🙏
ОтветитьWow!!...BARIKIWENI SANA
ОтветитьMUNGU awalinde
ОтветитьWimbo mzuri,video nzuri,ujumbe mzuri,ubunifu mzuri, na mwisho sote tujitahidi kuzifuata sheria za Mungu na amri zake. Mbarikiwe.
ОтветитьNabarikiwa Sana, huku kahama tunawapenda❤
ОтветитьHatari sana
ОтветитьMnitumie namba ya mkuu wenu nimpe maua yake abarikiwe Kwa kudaport kazi hii
ОтветитьBe blessed
ОтветитьBarikiweni sana wapendwa
ОтветитьNice song ever🙏🙏🙏🙏🙏
ОтветитьAmen.
ОтветитьMungu azidi kuwabarkii kwa ujumbe. Mzuri sana
Ответить❤❤❤
ОтветитьAmina mbatikiwe sana wimbo mzuri sana nimebarikiwa nao na mzidi kuitangaza injiri
Ответить❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
ОтветитьMbaimba utamu Sana nyie
ОтветитьMungu
Ответить❤❤❤cf ni moto
Ответить❤❤❤❤
Ответитьamina
ОтветитьAmina
Ответить❤❤❤
ОтветитьPenda sana
Ответить❤❤❤❤
Ответитьmbalikiwe sana na mfike mbali
Ответить❤❤❤❤❤
ОтветитьAmina. sheria ni kwa upendo wake Mungu kwetu
ОтветитьMnazidi kufanya vyema aisee! Na mnapendeza kadri mnavyosonga mbele. Eunice nakuona mate unamtukuza Bwana. Halellujah
Ответитьgood music
ОтветитьWimbo mzuri sana
ОтветитьHuu wimbo ni wimbo bora kwangu 2023
ОтветитьWonderful song 💕
Ответить❤
Ответить🎉🎉🎉🎉🎉
ОтветитьHongera sana aiseee
ОтветитьJaman dad Rose secretary kama secretary
ОтветитьNice song.from Uganda 🙏🙏🙏🙏
ОтветитьHakika kila serikali/mahali fulani pana sheria zake zinazotuongoza kuenenda ipasavyo kwa faida yetu. Mungu awabariki watu wa Mungu.
Ответить