Wananchi wa mjini Goma, mashariki mwa DRC wanavyofaidika na Kiswahili

Wananchi wa mjini Goma, mashariki mwa DRC wanavyofaidika na Kiswahili

Mashariki TV

55 лет назад

309 Просмотров

Mada kwa kina leo inatupeleka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo #DRC, kama ilivyo sehemu nyingi za #Afrika Mashariki nako lugha ya kiswahili inatajwa kuwa chombo chenye nguvu sana kinachoingilia kati ujenzi wa amani na pia katika biashara hasa kwa wakaazi wa mji wa #Goma katika jimbo la Kivu Kaskazini mashariki mwa nchi hiyo. Kiswahili ndio lugha ya kwanza nchini DRC yenye idadi kuwa ya wazungumzaji katika mikoa ya Mashariki na Magharibi mwa nchi ambako inatumiwa hata kwenye vyombo vya habari kama Redio na televisheni. Mwandishi wa idhaa hii ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa nchini DRC, Byobe Malenga amefunga safari hadi maeneo hayo kushuhudia umuhimu wa lugha ya #kiswahili na kutuandalia makala hii.
#HabarizaUN #UmojawaMataifa #Kiswahili #UNNewsKiswahili
Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии: