Комментарии:
Aminaa
ОтветитьNamuona mwana_ASSA_Binza High school a class of 2019 sema nimekusahu jina ulikuwa unapiga bass saaana 😂😂 am Paul-felshy_katibu wako wa ASSA
Ответитьbarikiweni sanaaa wapendwa ujumbe unagusa sanaa
ОтветитьGod stand with us for what we are passing through AMEN 🙏😇
Ответитьhakika nimenyenyekezwa na wimbo huu cedars family Mungu awabariki sana
ОтветитьAmina sana nimebarikiwa na wimbo wa safari umenitia moyo watumishi wa mungu mbarikiwe sana cedars family nawapenda Amina
ОтветитьMungu awabariki jamani,nimefurahi kumuona dada yangu Joyce
ОтветитьAmina..nabarikiwa na nyie Cedars family na nawapenda😍🤓..mbarikiwe
ОтветитьMnisajiri basi. So beautiful. @machozi niombee usajiri.
ОтветитьWow
ОтветитьAsee! mbarikiwe kwa kutupatia ujumbe huu kwa wakat sahihi 🙏
ОтветитьDahhh 😢😢😢kweli safar kuna wakat Haina maana kabisa Asante Kwa wimbo mzur wenye faraja ya pekee
ОтветитьNawaona mbalii mnooo nyimbo nzuriii mno creativity, uimbaji uko so waoooh wimbo umetuliaaaaa🎉
Ответить😢😢😢🙏🙏 Mbarikiwe sana kwa ujumbe huu nimejikuta natokwa na machozi ujumbe mzuri sana na wenye faraja
ОтветитьSong nzuriii snaa
ОтветитьWimbo mzuri wenye ujumbe mkubwa ndani yake, , , , Mwl KISS barikiwa sana mkuu
ОтветитьWimbo mzuri wenye ujumbe mkubwa ndani yake, , , , Mwl KISS barikiwa sana mkuu
ОтветитьAmen
ОтветитьOooh yec wonderful
ОтветитьWow what a good emotional and sorrowful song be blessed
ОтветитьAmina, bila Yesu tungelikuwa wapi Sisi. Mungu ahimidiwe daima zote.
ОтветитьMbarikiwe watoto wa baba
Ответитьamina amina denis nmebarikiwa mdogo angu wimbo mzuri unatia moyo
ОтветитьAmen 🙏🙏
ОтветитьNyimbo nzuri sana imenibariki nakunifariji. ❤❤❤❤❤
ОтветитьMbarikiwe sana kazi nzuri sanaaaaaa
ОтветитьTarime mmetisha Mungu awabariki sana
ОтветитьHuu wimbo ni mzuri sana,uendeleee kuwatia moyo wote ambao kwa namna moja au nyingne wanapitia changamoto mbalimbali za Maisha,
Waweke tumain lao kwa Mungu muumbaji..maaana hakuna linaloshindakana kwake..
Cedars family tz,Mungu awabariki sana kwa jumbe nzuri mnazozidi kuzitoa ...zina tuimarisha sana❤
Munaimba vizuri sana
ОтветитьHongereni sana jaman wimbo ni mzur sana mungu azid kuwabariki
Ответить🙏🙏Amen
ОтветитьAmen
ОтветитьWimbo mzuri,songeni mbele wabarikiwa
ОтветитьNimemuona afande wangu popola,Mungu azidi kuwainuwa
ОтветитьAmen..
ОтветитьMumenibariki sana wat wa baba mwende mbari san namuona Binti yangu marry Binti asie kuwa na makuu mungu akutie nguvu mwanangu❤❤
Ответитьhappy to see my shem Joy
ОтветитьVijana wangu hongereni sana songeni mbele kwa mbele
ОтветитьMwende mbele kwa jina la yesu mmenibariki sana
ОтветитьBe blessed
ОтветитьNi moja kati ya nyimbo zenu nzuri, ina ujumbe wa kufariji, kutia na nguvu ya kusimama tena hata upo kwenye changamoto kubwa. Zaidi sana mmejitahidi kuimba kwa hisia sana. Mbarikiwe sana. ✅🙏
ОтветитьNi moja kati ya nyimbo zenu nzuri, ina ujumbe wa kufariji, kutia na nguvu ya kusimama tena hata upo kwenye changamoto kubwa. Zaidi sana mmejitahidi kuimba kwa hisia sana. Mbarikiwe sana. ✅🙏
ОтветитьNabarikiwa mno na cedars family mdogo angu rose nakuona ubarikiwe🙏🙏
ОтветитьMbarikiwe Sana Kwa jumbe nzuri namuona binti yangu Rose mfike mbali tunawaombea
ОтветитьAmen, amen
ОтветитьNabarikiwa sana wimbo mzur mno mfike mbali watu wa baba
ОтветитьMbarikiwe sana binafsi huu wimbo umenigusa sana
Ответить❤
ОтветитьMbarikiwe
ОтветитьWimbo umegusa maisha yangu
Ответить