Комментарии:
Mpanda
ОтветитьMungu akulaze mahali pema baba yetu Kwan hatutapata raisi kama ww tena mpk Dunia insisha
ОтветитьKwa kweli Jpm alifanya kazi kipindi cha uhai wake
ОтветитьMagufuli alifanya mambo mazuri sana hakika 2takukumbuka daima
ОтветитьStendi ya dodoma iko mwake❤
ОтветитьNdio mungu akupunguzie adhabu
ОтветитьAlikaa madarakani kwa mda mchache sana lakini aliyoyafanya niyamiaka zaid ya 50
ОтветитьSite Sitendi ya dar es salaam
ОтветитьMfano halisi ubungo huo ni muendelezo
ОтветитьMagufuli baba kama mahala pema daimaa
ОтветитьWw n muongo tz hakuna stend yenye uwezo kubeba mabasi elfu 3000
ОтветитьMungu akupunguziee adhabu
ОтветитьMagufuri atakumbukwa daima🎉
ОтветитьBukoba haipo
ОтветитьStend ya magufuli ni kali mnoo
So daima tutamkumbuka na tutamuenzi pia na tumwombe mungu atupatie rais mchapa kazi kama magu mwaka 2025🎉
Nipambe sn kwetu
ОтветитьWaho stend nzuri sana xote dar ni kutokana ni jiji lazim iwe kubwa n yemye viwangu i like kwetu katavi mizengo pinda
ОтветитьMashaallah ya kwanza 1ni mbezi ya pili dodoma
ОтветитьMambo Mazuri ndani ya mda mfupi big up 💪 Tanzania 🇹🇿 fahari yetu
ОтветитьM mung akupe kauli dhabity kipenz chety magufur
Ответить❤ you magufuri steand 🎉🎉🎉🎉
ОтветитьUtakumbukwa daima nasi kwawatanzania pekee Bali Afrika nadunia yote ,mungu akulaze Mahalia pema peponi
ОтветитьZambi za magufuli apewe samia
Ответитьnjombe je
Ответить❤
ОтветитьHuyu magufuli hapana mfano wAke
ОтветитьStend ya mkoa wa singida Nako pia nikali Sana ila haujaitaj
ОтветитьMagufuri rip😊
ОтветитьBado namkumbaka sana magufuli
ОтветитьTutamukunb k kwmazr
ОтветитьMagufuli ndioo kalizaidi💯💯👍
ОтветитьMimi niko mpanda katavi kweri hii stendi ni bora zaidi sana.
ОтветитьAisee ni kweli maana
ОтветитьIringa mmetupeleka polin lakn jau..
ОтветитьHakika tutakukumbuka namba moja dar
ОтветитьMungu akurehem kipenzi cha wengi
ОтветитьNahisi ni zaidi ya kumkumbuka Magu
ОтветитьHii imeniliza sana nikimkumbuka Baba etu Rais wetu Rais wa wanyonge kipenzi cha wengi tutakukumbuka siku zote za maisha yetu (hakika kazi ya Mungu haina makosa Bwana alitoa na Bwana alitwaa jina la Bwana lihimidiww
ОтветитьRip jpm
ОтветитьAcheni tu jmn,Magufuli!
ОтветитьIla Magu noma basi
ОтветитьDodoma ndo inaongoza
Ответить😂😂😂😂 Mungu ailaze roho ya baba yetu Magufuli mahali pema peponi na mwanga wa milele amwangazie apumzike kwa amani.
ОтветитьMagufuli atakumbukwa daima
Ответитьumesahau kuwa iyo magufuli stendi ya daa, kuwa ina hadi mskiti na kanisa juu ghorofani juu kabisa❤❤
ОтветитьNikweli mwamba alipambana sana kuiboresha inch ila nizamu ya mama kutuonyesha na yeye kujenga stend kali zaid kilimanjaro. Arusha. Mbeya . Mtwara. Na kukamilisha stend ya tanga
ОтветитьNjombe🎉❤
ОтветитьMbeya
ОтветитьMagufuli tutamukumbuka
ОтветитьDu ivi mama anashindwaje kuleta vitu kama ivii
Ответить