Комментарии:
Uyo kaka fala sana aje mombasa aona ma GMC .WACHA UFALA WW UMBU WALA HUKAI NAIROBI
ОтветитьWanao Shangai ni wa Tz .njoo 001
ОтветитьHayo magary mbona nimengi tuu pale tanga yalikuepo kama daradara
ОтветитьZimepitwa na wakati
ОтветитьHii chuma ya namna hii mwaka juzi nililiona mahala in tz so jamaa asiseme ni y kwanza eastafrica sema model iwe tofaut tyuu ila hiz chuma zipo
ОтветитьMbona pick up la kawaida tu! Ama kwa kuwa limekuwa pimped? Marekani ni gari la wakulima, wawindaji, na wajenzi na wala si matajiri.
ОтветитьThis is a broke farmer's truck where they make them😂 no offense though.
ОтветитьKwa huku marekani magari hayo hayana dili wala nini😂😂😂 tunawaachia Mexican waendeshe 😂😂 kweli unaambiwa tembea ujionee, kwa anayetaka hiyo gari namtafutia kwa $20000. Jumlisha $5000 ya usafirishaji then utalipia ushuru mwenyewe huko bongo jamaa muongo anauza gari pesa ya nyumba 😂😂 hayo magari huku Texas ndio unayapata OG texas version magari ya kisenge yanakula mafuta balaa msenge muongo wamempiga pesa kibao kwa anayetaka Texas version anitafute hapa.
Na hizo information kuhusu oil chafu 😂😂😂 dah jamaa full muongo kishenzi
Kijana wa msomi kwao musoma mjini mtaa wa karume
Ответитьishallah
ОтветитьKundanganyana vibaya huku kwetu Burundi gali Lipo Ila sijatembez Ila usiseme liko ryenyew east Africa uongo hiyo
ОтветитьUongo kaka naishi kisasa dodoma hiz gar mtaani zipo kama mbili ukichanganya na moja ipo kama noah ila ni kampun ya GMC znakua tatu hamjatembea gar zpo nyingi
ОтветитьHongera
ОтветитьHe doesn't know the power of his own car. The only special thing about that car is how strong and powerful to pull a trailer of a 40ft container
ОтветитьNiko Ireland nipe kazi.
ОтветитьTuta gombana na miradi ayo mwanza yapo mawili na sio ajabu na ni ra kutembelea msituni barabarani aripendez
ОтветитьWatu ni washamba bana sasa mkijivunia nyinyi watu wa Kenya na hamtengenezi magari sasa ingekuwa mnatengeneza kama wale wanaotutengenezea na kutuuzia ,wacheni ushamba wa kujisifia Kwa vitu amabazo hatujui hata inaazwaje kitengeneza Sisi East africa bado sana ,tuko nyuma sijui kama nini ni mungu atusaidia tuwe na maujuzi kama ya wazungu
ОтветитьSafi sana kaka mungu akuzidishie neema
ОтветитьThat's USA 🇺🇸 vehicle
ОтветитьYaan ukiligonga ilooo millard ayoo. Atauzaa mic zotee izoo mlipeee
ОтветитьThey make GMC care in Michigan
ОтветитьPumbavu zenu et ndo gar ya thmana Zaid East Africa yaan $260,000 pesa ya kawaida sana hio kwenye magari
ОтветитьMwanza lipo mama mmoja anaitwa mama Samia analimiliku
Ответить🔥🔥💪👊👊
ОтветитьBig propela
ОтветитьHuna majivno wala hujikwezi hongera sana
ОтветитьMwanza IPO HII KOMA KUSEMA NI MOJA AFRICA MASHARIKI
ОтветитьSio mchoyo uyu kaka,,inaonekana anaroho nzuri Sana,,Kila la heri kaka mungu akubaliki
ОтветитьHasaa milioni 400 ndio est africa lipo moja watu hawajaamua tu kulimiliki
ОтветитьAmani bana kwako. Mwandishi kumbuka akuna gari linakunywa maji . Hilo swali silipendi na limekua keroe kwangu na Toyota yangu. Nimependa ukubwa wake.
ОтветитьMbona Arusha lipo pia asee
ОтветитьSema wakuu msitaman hizo mali ni mateso tu njons wanavyo zipata na wanavyo zitumikia ni atar wakii😢😢😢
ОтветитьKaka yetu hana mbaya
Ответитьnairob cmg zmejaaa
Ответить😂😂😂Omg. Every mzungu mchafu drives pickup truck..Stop spreading lies that is the most expensive car..You can get a Ford Track used one even for a $1,000.00 here in USA ..Tz stop being washamba..
ОтветитьHizi gari Saudia arabia ni baskeli zao.
ОтветитьNdo ujue kuna wanaoishi na tunaoishilia😅😅
ОтветитьHii gari waiguru hapa anapandishia kunia za chkula ya kuku😢😅😅
ОтветитьUko na roho Safi nipe at Mimi probox juu mungu amekumbariki
ОтветитьPESA IPO IZO GARI ALIZOTAJA ALAFU HANA MOJA MKUU sio powa zote ni mapesa 🙌🙌
ОтветитьHilo la kwemda shamba.
ОтветитьJe tz lipo ama diamond analo
ОтветитьHapo uliwenza brw huo ndio utamu wa pesa
ОтветитьDumper classic
Nakubalii ulicho kisema jipendee
asante kaka
ОтветитьHongera broo Nikichopenda Unakauli nzuri Wewe ndio kati ya matajili wakweli Sio Kina Chiffu aseee
ОтветитьZaidi ya miaka 6 nyuma nimeyaona 2 segerea jamaa kayapaki tu
ОтветитьJamaa katulia vizuri na anajieleza bila dharau, sasa niyo unamkota m'bongo mwingine gari ya milioni 28 tu ana kiburi barabarani anachomekea kwa dharau ushamba kibao
ОтветитьMimi maulid ni conduct tafadhali
Ответить