Комментарии:
Next time ukimuhoji tajiri muulize amepataje mana tunachanganyikiwa huku mtaani. Tunatafuta ila azipatikani kwani wao wamepataje?
ОтветитьKumbe Salama yuko vizuri akivaa buibui
ОтветитьThat I wish for, watoto wangu wapendane,wasaidiane❤🙏
Ответитьkumbe issue ni kampeni
ОтветитьTajiri kabisa
ОтветитьKwani mbona salama jabir ndan ya ayo tv? sijaelewa nawaomben darasa kidogo
ОтветитьAllah akbar nimefurahi na kushukuru kwa kwa rahma zake Allah kwa kumpa neema hi ya dada yetu Salama katika mavazi ya kislam😂❤
ОтветитьSiasa nyingiiiii
ОтветитьBig up sana god bless you 🙏🙏🙏
Ответитьkumbe salama mpole au ni pesa za mchiz amenywea hahaha
ОтветитьInterview mbovu sana
ОтветитьSio mwaka huu? Tutaona... Time will tell
ОтветитьMashaallah dada salama mungu akuzidishie inshaallah 🤲🤲
Ответитьdakika 10 haztosh😢
ОтветитьBoss mungu akuzidishie sana🎉❤❤
ОтветитьGsm oooyeeee
ОтветитьInterview yenye mrengo wa Kampeni kwa Mamá Samia 😊
ОтветитьMungu akulinde baba ni kweli unajali insha a alhaa na kizazi chako kiwe km nyie🎉
ОтветитьMbona nasikia mama mama mama hiii interview ni ya mama tu Mbona maswali ya kumuuliza mwamba ya maana ni mengi mama mama mama stupid
ОтветитьYanga Bingwa
ОтветитьMaswali mepesi sana
ОтветитьSalama
ОтветитьGSM🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
ОтветитьInterview tamu hlf fupi jmn
ОтветитьWatu Tukomenti Sifa Lakini Tusivuke Mipaka Oh Mungu Akupe Kila Itaji La Moyo Wako Inamana Akitaka Kitu Kwako Nawe Mwanaume Je Utakubali C Unataka Apewe Itaji La Moyo Wake Je Itaji Lake Likiwa Nyuma Yako Je Utakubali Watu Tue Na Akiba Ya Sifa Kusifia
ОтветитьKtk intervew yote nilichokisikia ni YANGA BINGWA😅😅😅 tajiri kapoa hana maneno mengi
ОтветитьUnamjua alofanikiwa yule atakaefika salama mbele ya mola wake huyo ndio kafanikiwa
ОтветитьMashallah mashallah salama Allah azidi kukuongoza zaid naflah xn sk hizi nikikuona ktk mavaz ya stara.
ОтветитьInterviews gan ya dakika9😏
ОтветитьNakuombea Dua boss wetu M/Mungu akujaalie Kheir nyingi kwenye maisha yk Inshaallah
ОтветитьAamina Inshaallah
ОтветитьSalama akivaa nguo za eshima unapendeza
Ответитьduu mbn maswali yote ni kama kampeni sasa millad umempa nani hii kipindi tena
ОтветитьTajiri hana maneno mengi anajibu anacho ulizwa sio wengine mtu anaulizwa swali analeta stori
ОтветитьYani tz kila kitu mamaa mamaa 😂😂😂
Ответитьkikubwa tajiri kavaa boyfriend shoe yangu, sema yeye ni ya dollar ndefu mimi cha aftatu kwa wachina kkoo
ОтветитьKuna vitu azipo sawa sema bora salama
Ответитьhakuna kauli naisubiri kama siku kumwambia mama i made it. love you mama..soon
ОтветитьYANGA BINGWA 💚 💛 😊
ОтветитьSalama Mtu Hodari haswaaa 🎉
ОтветитьInterview imekaa kichawa sana
ОтветитьDah interview ya boss dk 9 tu hana mambo meng
ОтветитьShort and clearly 🎉🎉🎉
ОтветитьYanga bingwa🎉
ОтветитьMashaalah Salama wa Jabiri❤
Ответитьmajibu ya tofauti eti yanga bingwa,kisa kajibu tajiri ujinga watu wanafurahi
ОтветитьMatajiri hawana kelele kweli siple and clear anaeleweka sasa mkute huyu chief godlove akitufoce tumuelewe 😂
ОтветитьEt yanga bingwa
ОтветитьTajir hafokew
ОтветитьIntivew ya uchawa exclusive nzima imejaa uchawa
Ответить