Комментарии:
waislamu wanaendekeza sana uchawi asee
ОтветитьNi wanawake kuchukua mkopo bila la kumwambiaa mwaume ni kawaida tu hata apa mtaàni vyombo vingi vimebebwa
ОтветитьMzee mtoto wako mwenyewe alisema alikopa bila kumwambia mume wake!! Ko huyo mwanamke anahusika hata yeye
ОтветитьAllah SW Awajalie kila jambo liende kwa kheri. Muishi kwa amani na siku zote mazungumzo na Subira ni mambo ya msingi maishani.
Ответить❤❤❤
ОтветитьMzee ana busara kubwa, mada hapa ni Oya kuuwa binadamu mengine ni maneno yakugombanisha familia tu
ОтветитьMkwe kakili kakopa mwenyewe
ОтветитьPole lakin mwanao ndio akope anunue simu😀😀😀
ОтветитьHizo kampuni Ni matapeli sana .Tena majangiri eti oya
ОтветитьSs laki 3 jmn mumpige mtu had umauti
Ответитьsa walivyomuua ndo wamepata hela zao? upuuz tu kukatisha maisha ya kijana wa watu
ОтветитьHayo yatasemwa sana Yani hyo mama atapata tabu kwa masimango hadi basi.
ОтветитьUle sio mkopo kwanza wafanyakazi wa oya Wana matusi nilikuta wanamtukana mume wa mke alikopa daaa hawafai
ОтветитьMsiba unahamia kwenye familia na walio sababisha msiba wanahaza kuachwa. Taratibu
ОтветитьJamani ,kusiwe na visasi ni kupoteza family na kutesa watoto wasio na hatia .
ОтветитьDah nimepita juzi mitaa hi nilikuwa cjui wamefunga turubai kwanin poleni wafiwa
ОтветитьHata tabora oya wanasumbua
ОтветитьHun akili www mzee , bint yko kasema amekopa bil mme wake kumwambia. Inaonekan karithi akil zako huyo dada.
ОтветитьMtu anaenda kufanya ushirikina uwa hatamki uwenda wamesema 2 kwahasira kumpoteza ndugu yao mungu ataingilia kati
Ответитьrafikia yangu alitembezewa kichapo apumzike kwa amani kila kifo kina sababu ila oya
Ответить😢😢😢😢Duuuh
ОтветитьWapimbavu wanaacha kuwafatilia oya wanaleta upumbavu
ОтветитьWew oya hawawezi kukupa mkopo mwingine ukiwa hujamaliza na mkopo wanatuma kwenye cm na sio hawa wanatembea na gari
ОтветитьMamlaka ziache uzembe kwenye kusimamia maswala kama haya yanyotokea kwenye jamii, Hasa kwenye kuchukua hatua na kutoa adhabu kali kwa watu wanaofanya matukio ya kikatili ya namna hii, Hatua zisipochukuliwa na jamii haioni kama watuhumiwa wanaadhibiwa ni mbaya sana
ОтветитьTanzania ndo nchi pekee ukisia mtu anamuachia Mungu ujue anajiandaa na ww kiroho😂😂
ОтветитьWapige kurujuani hao😂
Ответить20:124 gur'an
ОтветитьTatizo wanawake wasikuhiz vichwa mbuzisana kukopa kimyakimya denilikiwa gumu ndio unasikia ana haha. Mimi mwenyewe nina ugomvi jitu lili chukua pesahuko likawekanambazngu za simu. Limeshindwakulipa nikashangaa napigiwacm nilimshuhulikia mwenye kampuni nadhani anajuta kunifahamu. Namdaiwa nae yupo kwa mamakesasa sitakagi ujinga mimi
ОтветитьJina lenyewe Oya......wahuni tu
ОтветитьNdio mana mimi ugonvi sitaki
ОтветитьKwanza oya jina linyewe lakihuni kampuni yenyewe Haina ofisi
ОтветитьSasa hiyo inaitaji D mbili huyo mwanamke ndiye kachochea.
ОтветитьWaislam wengi ni awaaamu hawajielewi sana upande wa Dini yao.
Tazama Hali ilivo mbaya sasa
HESHIMU SANA KAUSHA DAMU,NI KWELI SABABU NI KAUSHA DAMU
ОтветитьHaya makampuni ya kifala si yafungwe benk zipo
ОтветитьLakini baba,huoni huyo kike ni mkubwa kwa mtoto?bora ukope uende Hosp,lakini kununua simu?,halina adabu,chukua mbwa wako uondoke nalo
ОтветитьMwanao mwenyewe kasema hajamshirikisha
ОтветитьPoreni wafiwa 😢
ОтветитьMzee ni shemeji yangu huyu
ОтветитьMzee ni shemeji yangu huyu
ОтветитьWauweni Oya sio mke
ОтветитьOYA wana makosa wachukuliwe hatua kwani walitakiwa wamsubiri aliyekopa awepo ndipo wachukue dhamana aliyoweka kuja kupambana na mtu hata hakumdhamini mke wake ni kwa nini na hapo nyumbani wanapafahamu Marehamu hakuwa na hatiya kuwakazuia kuingia ndani kuchukua dhamana kwani hakumdhamini mkewe OYA walitakiwa kusubiri hadi mchkua mkopo aje apambane naye lakini pia nawaomba wazazi wawe wavumilivu wakijua na kwamba shetani tu kasababisha yote haya watoto wetu walipendana pamoja na binti kutokumwambia mumewe lakini Marehamu alimsamehe mkewe na akamwahidi kimlipia laki moja hivyo tuimwombee marehenu ailaze mahali pema peponi na serikali itoe adhabu kali kwa watoa MIKOPO waende kwa WATEJA wao kwA HEKIMA na wawebna elimu ya kisheria kidogo wanapodai
ОтветитьKila kifo kina sababu kikubwa tushukuru Mungu yeye ndy muweza ya yote, hakuna haja ya kisasi
ОтветитьJamaa aliyepigwa hadi kufa ni alikuwa boss wangu ila, wafiwa wawe na subla, kifo huwa kinatafuta sababu
ОтветитьYani huyo mwanamke atasusiwa watoto Yani hataona sh kutoka kwaupande wa huyo mume
ОтветитьMi nahis walovyombeba walienda kumalizia 😢
ОтветитьPole sana
ОтветитьMungu ampe kauli habit jamn shemeji yangu juma pole sana da adija pole sana mungu akusimamie kwa kipind iki kigumu upitacho
ОтветитьWanapita kupiga watu
ОтветитьAyo tv naombeni number zenu mie niko tabora nahuku tuna kero zetu itakuwa ndio sheria ya mwenye kampuni
Ответить