Комментарии:
África hoooeeee 🇲🇿
Ответить𝙈𝙪𝙣𝙜𝙪 𝙖𝙢𝙨𝙞𝙢𝙖𝙢𝙞𝙚 𝙠𝙬𝙖 𝙠𝙞𝙡𝙖 𝙟𝙖𝙢𝙗𝙤!
ОтветитьKwani izo gorofa nazo ziona, ziko burkinafaso ao ndo zitajengwa badae ?
ОтветитьTusubiri
ОтветитьIbrahm traore na magufuli ni Mfano wa viongozi bora wa afrika kwa karne hii
ОтветитьIbrahm traore na magufuli ni Mfano wa viongozi bora wa afrika kwa karne hii
ОтветитьSawa kbs mwamba kwa habari za ukweli
ОтветитьRest in peace, JPM
ОтветитьIbrahim traole🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
ОтветитьJPM namkumbuka, 😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮
ОтветитьSiyo kijana wa huku anakaa kwao na anakula kwa baba yake.mbaya zaidi wa huku wanajiita chawa kabisaa!.
ОтветитьUjuo wa Magufuli umeibua viongozi wengi waliozibebe fikra zake
ОтветитьTatizo la Afrika ni uongozi nakubali sana
ОтветитьMataifa yetu mengine wnafiki sana
ОтветитьSisi tutafika lini uko mana mi celew tunaenda au tunarud
ОтветитьMwambie raisi wa congo asome hapo bos
ОтветитьSafii
Ответитьsijuinizamie brkina faso🙅
ОтветитьLaiti ingekuwa bongo ndio imefanyika hivyo wabongo wengesema raisi anataka kuleta uislam
ОтветитьNakupata kaka isaya
ОтветитьFrom nairobi kenya nawapata vizuri sana
ОтветитьIsaya nitumie namba yako broo
ОтветитьHakuna kiongozi hapo,ni swala la muda tu mtakuja kuniambia.Anataka kupambana zaidi na wale anao wachukia kwa sababu zake binafsi,hata kama wazungu walitufanyia mabaya lakini tukumbuke kuna mazuri mengi tu waliyafanya,
ОтветитьVIONGOZI WETU WANACHUKUA PESA ZA UMA KUPELEKA WACHEZA SINEMA NA WAIMBAJI NCHI ZA NJEE KWA PESA ZETU😂😂😂😂😂😂
ОтветитьMwamba umetisha kwani hizi habali una zipataga wapi?👏👏👏
ОтветитьVp kuhusu wakwetu kafanya nini alipoenda USA
ОтветитьBokinafaso mnapahati sana
Ответить🌍👍🫡
ОтветитьKomaa
ОтветитьNilidhani jeshi la bukina ndoo linaijenga bukina hakuna kitu hapo
ОтветитьMzee isaya nakupata vyema kabisaaa tena nakuelewa huna uchambuz wa hovyo wala braaa braaaa
ОтветитьDuniani kuna wabishi lakini sijaona anae mkataba huu mwamba
ОтветитьAlafu bongo siasa nyingi
ОтветитьTz kama uraya..mwenye ndoto zakeee...magu mungu anakuona..
ОтветитьTupen taarifa za kweliii
ОтветитьNakupenda sanaaa
ОтветитьTZ😂😂😂tuna almas .dhahabu..Magufuli ameondoka navyo iweje tusilie😢😢..kkopaaaaaa..miamba watoto wa afrika traoree tutoe kimasomasooo😊😊
ОтветитьAsante kwa Elimu
ОтветитьNamtakia kila la heri Traore na Mungu atamsaidia
ОтветитьNamuombea maisha marefu kijana Ibrahim Traore
ОтветитьMwl wa neno la Mungu,ninakukubali sana
ОтветитьMagulifications of Africa
ОтветитьSijui itakuaje kwa waisraeli wa bongo, maana wanavyoichukia Iran😂😂
ОтветитьHuyu mwana BUKINABE Ibrahim Traore ni MAGUFULI mwingine kaibuka tena,Mungu aendelee kumpa ulinzi dhidi ya WANYONYAJI.
ОтветитьSafi sana
ОтветитьMagorofa malefu Tena mazuri
ОтветитьWewe bwana anataka kutuponza wenzio tupotee maana watendaji wake wapo bize mitandaoni kuliko kuondoa tatizo husika Lakini pia tunaogopa Roman catholic yetu l
ОтветитьTraor balaa
Ответить