Комментарии:
The true Kenyan music, i love the creativity
ОтветитьA song that just urges you to work hard, never give up, and give your all.
ОтветитьLiving Legend
Ответить4/24/2022 here to listen
ОтветитьMusic video iko juu tuu sana
ОтветитьWhere are the comments?? Genge love
ОтветитьHeshma
Ответить2022 we here💯💥
Ответитьlyrics
kuzaliwa... mwezi moja na mzee Ghandi
na mashujaa... wengine wengi tu zaidi
ndoto... kujisaidia kuepukana na mtaa
heshma... kwa mtaa ikamjenga kuwa star
California... mtaa moja, balaa
mahali ma-star... huzaliwa tu, kila saa
kuhama... aende aende wapi?
Calif... bado iko kwa hiyo moyo ndani
Genge... familia jo kuingia
Kenya... mzima mziki kuiskia
kama... kuuza unga kaanza polepole
hit... baada ya hit akawapa baada ya colle
rap... kupanda kule kukikucha
wengine... kando wajaribu kumchuja
kujiangalia... mbele akiwa kwa ukuta
mgenge... ndio amekuwa mzee wa nyumba
(CHORUS) (Bon'eye)
Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa)
Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa)
Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa)
Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa)
(Nonini)
mziki kwangu ni kucheza tu chess
kaa chini... songa kwanza na all the best
karibu... tena kwa hii mchezo ya genge
masoja... wako wote pia walete
sacrifice... masoja wa mine mi sijawahi
defence... ndio wananipa tu nikuwe hai
frontline... ya mine pekee inatesa
mkipenya... kunifikia mtaweza?
ma-spy kibao mi huskia jo mkiongea
hakuna hunilipia bill hakuna mi hutegemea
isipokuwa mafans wangu naitanga wagenge
bila wao singewahi panda hizi ndege
maisha ishageuka siku hizi sipandangi Akamba
guess ndio maana waniitanga the Godfather
kimziki ukipenda niite bwana Mayor
bling ni awards juu ya meza si unamezea
(CHORUS) (Bon'eye)
Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa)
Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa)
Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa)
Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa)
(Nonini)
kila kukikucha ndevu mpya inatoka
twazidi kuwa wazee tukitafuta njia ya kuomoka
wao husema ya tatu ni bahati fiti
kwangu ni foundation ndio inamaliza simiti
nimekaa chini nikabonga na beste yangu fulani
akani-show yuko na mi kila mahali
kwa hivyo nisikuwe na wasi wasi nisitie shaka
watakubali bado jo uko huu mwaka
mafia ni mmoja mi huwanga namheshimu
akisema nile machungu anala mpaka ndimu
simpigiangi simu siwezi jaribu
mi hupatana na yeye place fulani tu mausiku
kitu funny haniongeleshangi, hanipangi ganji
alinipa kitu muhimu zaidi ya hii kipaji
mafia ni God wangu nimemweka mbele
ndio maana waniitanga Godfather wa genge
(CHORUS) (Bon'eye)
Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa)
Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa)
Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa)
Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa
This song was soooo underated..one of the best jams za Nonini ever.
ОтветитьWHAT HAPPENED TO KENYAN MUSIC....i always think we time travel and beginning from the top going down
ОтветитьThis one 👌
Ответитьmgenge ashakuwa mzee wa nyumba. ❤🔥🔥🔥🔥🔥
ОтветитьAKAMBA BUSES DEM WERE DA DAYS
ОтветитьWho's here 2023
ОтветитьDopest song upto date.
ОтветитьHeshma 2023... Beat noma 💯
ОтветитьMusyoka ni mnoma 🤐
Ответить2023
ОтветитьNonini Must Be Inducted in Genge Hall OF Fame
ОтветитьTwende qwa msuro njeva,,,Desah the ground,,,Anfield,,,, calif records nonini btw highschool ulienda macha
ОтветитьWAANDAMANE NA HESHMA
Ответитьheshima kwako mzing ,miaka ni mia sita hamsini
ОтветитьRespect nonini
Ответить2k23 ...heshma!!
ОтветитьNonini once said " strategy ndio jina ya hii mchezo" that never aged well for these rappers always asking for help everytime 😹💔 Mgenge True was way ahead of his time ❤
Ответить2023 niko
ОтветитьGodfather album 🔥🔥🔥💖💖
ОтветитьHeshma kali💥💯baka 2023
ОтветитьSampled habari ndio hio beat
ОтветитьMtv they were supposed to nominate this song for any of their rewards in 2010v neeeds a grammy mr nonini for ths track
ОтветитьWho sampled who? Ay habari ndio hiyo
ОтветитьI remember the first time we heard this song with my bro and he was like 'sasa nonini akitoa Ngoma Kali hvi si anafanya upcoming waogope kutoa ngoma'😂😂
Ответитьmgenge true can i use this song non my content
Ответить1960
ОтветитьGengeeee
ОтветитьHakuna kitu kubwa kuliko Kipaji
ОтветитьNi ukweli nafuata sunna ya ali ibn hud
ОтветитьAm here 2024 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ nonini made the living Hits🎉🎉Mgenge ni 2rue
ОтветитьMgenge utabidi unijenge
ОтветитьGod father nakuona uki pepeta dimba ⚽️
ОтветитьWas this video shot in CALIF?
Ответить07.04.2024💪🏿
Bado tunapiga M21😅
If you here 2024 kindly like.
ОтветитьWazee wako jamaa itabidi uwapatie HESHMA
Ответитьlegends songs
ОтветитьHii ngoma yushika sana kwanza ukichonga jaba. kumedi mbaya
ОтветитьJuly 2024 ❤ Heshmaaaa 🇨🇦🇰🇪
Ответитьuyo boy ako na tsho ya signs of hope anaitwa nani anakuanga kwa ngoma zote za calif🙂
Ответить2024 Nov on that Nonz Playlist 🫶🫶 motoo 🔥🔥🔥🔥
Ответить