Комментарии:
Makosa makubwa zaidi ni kuwa
Tarehe ya mapingamizi imewekwa tarehe 10 /11/2024 badala ya tarehe 9/11/2024
Chama cha siasa kimefanya kuwa ndio kinachoweka mapingamizi
Maneno ya nape yametimia
ОтветитьMuyapuuze kabisa
ОтветитьCCM wamezeeka
ОтветитьManeno mtupu ccm hawatasikia wapeni fimbo hao wasimamiz wasaidizi ,akili zitawakaa sawa , Kila siku tutasema mapingamizi mapingamizi tutalialia mpaka lini
ОтветитьMmmh tamisemi inayumba yumba combo inaenda mrama ccm wameishiwa mbinu kwa sasa wanatumia nguvu sikio la kufa _____
ОтветитьCcm simkubali ushindani mnaogopa nn?
ОтветитьCCM na jeshi lao wote hawana hofu na Allah haki hii ya dhulma siku ya hesabu kiama wataijutia
ОтветитьUchaguzi huu awata tawala kwa amani
ОтветитьKazi ipo, wapinzani Wana moyo....
ОтветитьMkwe wa mwenyekiti wa CCM amefanya yale alioagizwa na mama mkwe wake,, Tanzania ni kuwa na ccm ni janga la kitaifa
ОтветитьNape alisema kitambo
ОтветитьHi nchi inafanya maigizo sana😅
ОтветитьInaumiza sana kupora haki za watu
ОтветитьKulia lia mpaka lini? Maamuzi mazito yanaitajika, haki haipatikani bila ncha ya nini vile?
ОтветитьCCM hawajali kitu chochote wala hawaoni aibu,wao wanachotaka ni kubaki madarakani kwa nguvu maana wanajua wananchi wamewakataa,sasa ni upinzani kufanya maamuzi kulingana na wanachofanyiwa na ccm.
ОтветитьMimi nahama ccm kwa dhulma hii...
ОтветитьWacha wajipitishe ila cha moto WATAKIONA HAO MA-CCM.
Ответить