DR KUMBUKA:HAMISA ndio mke SAHIHI KWA DIAMOND/MSIMFANANISHE NA VIKARAGOSI WENGINE/SIMJUI DIDA/RIJALI

DR KUMBUKA:HAMISA ndio mke SAHIHI KWA DIAMOND/MSIMFANANISHE NA VIKARAGOSI WENGINE/SIMJUI DIDA/RIJALI

Carrymastory

54 года назад

61,327 Просмотров

Dr Kumbuka Aliyekuwa rafiki mkubwa wa Mtangazaji wa Wasafi FM DIDA amefunguka na kuwafunda wanawake wanaodanga kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhani. Pia ameongezea na kumwambia Diamond anahangaika tu Hamisa ndio mwanamke anayemfaa.

Тэги:

#DIAMOND_JEJE #CARRYMASTORY_TV #CLOUDS #TANASHA_GERE #ALIKIBA_DODO #MAGUFULI #MAKONDA #WASAFI #MILLARD_AYO #GLOBAL_TV #ZUCHU #HARMONIZE #ALBUM #BEDROOM
Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии:

@faridaessa7844
@faridaessa7844 - 17.05.2020 19:52

Kweli kabisa hamisa ndiyo habari ya mjini

Ответить
@gablielsamwely1081
@gablielsamwely1081 - 23.05.2020 16:03

Mh uyu kweli kumbuka

Ответить
@mrishoali4436
@mrishoali4436 - 24.05.2020 17:10

Doctor kumbuka mungu anakuona

Ответить
@missebra7428
@missebra7428 - 25.05.2020 11:12

😀😀😀😀😀😀

Ответить
@irenejustine3367
@irenejustine3367 - 26.05.2020 09:39

Mgongo mrefu kaa kamba yakuanikia nguo.hahaaa Dr.kumbuka

Ответить
@ashuraussein7582
@ashuraussein7582 - 27.05.2020 02:00

🤔🤔🤔🤔😄😄😄😄😄😄😄😄😄😂😂

Ответить
@junemuchiri609
@junemuchiri609 - 27.05.2020 12:28

Dawa ya loketo lokole😂😂😂🙊

Ответить
@junemuchiri609
@junemuchiri609 - 27.05.2020 12:34

Kiuono cha huko,tofauti na uno la dar es salaam 😂😂😂😂😂😂😂😂...Hamissa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

Ответить
@johnmbukwa3662
@johnmbukwa3662 - 28.05.2020 21:06

Mwambie aache kujichubua mtoto wa kiume uyo

Ответить
@fatmahamadfatmahamad3080
@fatmahamadfatmahamad3080 - 29.05.2020 22:57

🤣🤣

Ответить
@asiakadendula4244
@asiakadendula4244 - 29.05.2020 23:16

huyu nae sijui alipewa vijicent, sasa huyo hamisa demu gani hovyo tu

Ответить
@lydiakangongole6783
@lydiakangongole6783 - 02.06.2020 11:21

We mwenyewe huna ofu ya Mungu, unabezaje uumbaji wa Mungu

Ответить
@khidrihussein7421
@khidrihussein7421 - 04.06.2020 12:06

Dr kumbuka umekosea kwakutoo kukemea watuwasoo swaumu mwezimtukufu jielewe unadalili zadini lzm utetee dini zaidi usiwek maneno yakiswaili zaidi

Ответить
@mariammapendo6074
@mariammapendo6074 - 04.06.2020 22:42

Yan uy at umcukie ni bure tu😂😂😂😂

Ответить
@likeothers2498
@likeothers2498 - 06.06.2020 01:03

Mipapa mingangumi🔥🔥

Ответить
@binurusm8886
@binurusm8886 - 06.06.2020 08:56

Huyu Dr. Kumbuka akikaa pamoja na Ndugu Mwijaku sijui itakua vipi, maana usemaji wao unaendana, Mungu awaongoze, maana hicho ni kipaji.

Ответить
@wemakyando7753
@wemakyando7753 - 09.06.2020 09:59

Hongera kaka hpo kwenye michambooo happy unanitia rohoooo

Ответить
@MctMct-tt4rq
@MctMct-tt4rq - 10.06.2020 09:29

UMBEA MBAYA NA MUNGU KAUKATAZA UMBE NA HUKUMU YA UMBEYA MTAIYONA MBELE YA MUNGU MNAAMBIWA MSICHUKUNGUZANE KWENYE MAISHA LEO MNACHUNGUZANA NA MUSEMANA MNAJIBU KWA MUNGU

Ответить
@missaisa2557
@missaisa2557 - 17.06.2020 15:32

Nikiwanga nimekasirika napenda sana kumtizama huyu kaka yaani nikucheka tu😂😂😂😂😂😂

Ответить
@maryammasoud8449
@maryammasoud8449 - 20.06.2020 17:44

Haloooooooooi

Ответить
@spreadlove2119
@spreadlove2119 - 23.06.2020 23:26

Waii mask yake na ya mtejaa ni ajee hiyo 😂😂😂

Ответить
@miryamsultannsultann5245
@miryamsultannsultann5245 - 24.06.2020 10:37

Eeeeeeeeeee

Ответить
@OmanOman-xe7gw
@OmanOman-xe7gw - 27.06.2020 14:20

Kumbuka gani msengi uyooo nimemchukiya toka alimsema zariiii zari hana kasoto kabisaaa

Ответить
@safiyamohamudadan6526
@safiyamohamudadan6526 - 29.06.2020 00:31

Mkorototo🤣🤣🤣

Ответить
@rukiajumaa574
@rukiajumaa574 - 05.07.2020 22:35

😅😅😅yesu na mariaaaa

Ответить
@nikolenanasara9754
@nikolenanasara9754 - 10.07.2020 11:58

Nampenda bure😍😍😂😂

Ответить
@farhatomar7495
@farhatomar7495 - 11.07.2020 21:24

Mbavu zanguuuu mie daaaa 😆😆😆😆😆😆🤣🤣🤣🤣

Ответить
@davidkims7286
@davidkims7286 - 13.07.2020 20:56

We kaka unanifanyaga kuceka xana😂😂😂

Ответить
@aminawilhelm4645
@aminawilhelm4645 - 24.07.2020 21:35

👍🏽👍🏽👍🏽

Ответить
@christellekisimba2447
@christellekisimba2447 - 07.08.2020 23:05

😂😂😂😂😂

Ответить
@rayyahbidady4376
@rayyahbidady4376 - 10.08.2020 21:57

Uso mrefu ka mwendokasi wa kimara gerezani🤣🤣🤣🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳

Ответить
@victoriammndeme2567
@victoriammndeme2567 - 20.08.2020 16:36

😂😂😂😂😂😂😂😂

Ответить
@jamilamanariyojamila1487
@jamilamanariyojamila1487 - 21.08.2020 23:05

Hahahah minakukubal👍👌🇧🇮

Ответить
@jamilamanariyojamila1487
@jamilamanariyojamila1487 - 21.08.2020 23:06

Unasemakwel weni🔥🇧🇮👍

Ответить
@estheroisso4006
@estheroisso4006 - 29.08.2020 20:48

Gooo

Ответить
@ahmedsaidi438
@ahmedsaidi438 - 30.08.2020 05:30

Haywani😂😂😂😂

Ответить
@madamboss348
@madamboss348 - 02.09.2020 12:58

Simba Anacheza huko chini🤣🤣🤣🤣🤣 hakuna pilau

Ответить
@madamboss348
@madamboss348 - 02.09.2020 13:00

Yesu na Maria 🤣🤣🤣🤣

Ответить
@salisali3738
@salisali3738 - 03.09.2020 21:06

Dr kumbuka muongo

Ответить
@bettybetty3518
@bettybetty3518 - 21.09.2020 18:35

Mungu wangu mtangazaji kachemsha eti D, A, D, A 🤓😓😂

Ответить
@rahmarahma5452
@rahmarahma5452 - 29.09.2020 22:49

🤣🤣🤣🤣🤣

Ответить
@ashasungata2708
@ashasungata2708 - 20.10.2020 07:50

🤣🤣🤣🤣👌🥰🔥pambe kumbuka msema kweli

Ответить
@popomwaruma6355
@popomwaruma6355 - 28.11.2020 13:32

😂🤣🤣🤣😃

Ответить
@cestlaviecestlavie4073
@cestlaviecestlavie4073 - 12.12.2020 05:26

kwakweli Dr Kumbuka Mungu anakuona, nimecheka jamani 🤣🤣🤣🤦

Ответить
@billarttydibelly533
@billarttydibelly533 - 29.12.2020 11:45

Mzungumzie na masha love nae pia hajielewi

Ответить
@aishahassani3921
@aishahassani3921 - 12.06.2021 01:16

Kumbuka wee noma Sana nakufuatilia sana

Ответить
@aishahassani3921
@aishahassani3921 - 12.06.2021 01:16

Nakupenda maneno yko hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ответить
@silasncebere380
@silasncebere380 - 14.08.2021 15:18

Sw sw dr kumbuka mkurundende ..mpango mzima

Ответить
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 - 11.11.2021 00:18

Weee mtangazajiii ni muongooo unalahana nyokoooo wewee Dida. N kijana saana usimzungumzie. Toto toto Dida baaaadosana

Ответить
@oajoajd2354
@oajoajd2354 - 14.03.2023 16:19

😄😄😄😄😄😄😄♥️

Ответить